Biblia Inasema Usiogope

Usiogope, Mtumaini Bwana


Listen Later

Unapopita katika kipindi kigumu sana usiwe na hofu, weka tumaini lako kwa Bwana. Mara nyingine yale tunayopitia huweza kutufanya hata tukasahau kuwa msaada wetu uko katika Bwana wa Majeshi, lakini kumbuka kwamba ukimkimbilia utakuwa salama na tena unabarikiwa. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri