Biblia Inasema Usiogope

Usiogope, Mungu wako ndiye mlinzi wako


Listen Later

Unapopita katika kipindi maadui wamekuzunguka na wote wanataka kukuangamiza kutokea kila upande, hofu huwa inatamalaki. Lakini jipe moyo kwa sababu Bwana Mungu wako ndiye mlinzi wako. Yeye amekuzunguka pande zote kukulinda.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri