Biblia Inasema Usiogope

Usiogope, Pambana


Listen Later

Kazi ya Mungu, ule wito ulio nao, ile kazi ambayo ndiyo hasa Mungu amekuweka hapa duniani uifanye lazima iamshe uadui na upinzani mkubwa dhidi yako. Lakini hakika ujue kwamba ugumu huu siyo dhidi yako tu lakini ni namna ambayo shetani anapingana na kusudi la Mungu hapa duniani na pia juu yako. Kwa hiyo hata katika ugumu huo unaopitia usikate tamaa na wala usikae legelege kwamba umeshindwa. Endelea kupambana, endelea kujitia nguvu katika Bwana, simama katika imani. Usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri