Biblia Inasema Usiogope

Usiogope Uchawi pt. 2


Listen Later

Wachawi wote wanatumika chini ya baba yao shetani, yule nyoka wa zamani. Kwa hiyo wao ni kama baba yao yaani nyoka. Kama umeokoka, siyo tu kwamba Mungu anakulinda dhidi ya adui, bali Kristo amekupa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e na nguvu zote za adui. Huna haja ya kuogopa...



...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri