Biblia Inasema Usiogope

Usiogope Yakobo Uliye Mdudu


Listen Later

Zipo nyakati ambazo unakutana na changamoto kubwa sana au adui hodari sana kuliko wewe. Kwa kila kipimo cha kibinadamu nyakati kama hizi mtu hujiona mdogo sana na mnyonge mbele ya yale yanayokabiliana nawe. Unajiona mdudu tu usiyefaa kitu. Maandiko yanasema "usiogope Yakobo uliye mdudu..." kwa sababu Mungu wako yuko nawe kukupigania na kutetea. Kwa hiyo hata katika nyakati ngumu kama hizi bado simama katika imani yako katika Kristo Yesu ukijua ya kwamba Mungu wetu anaweza kukuokoa. Usiogope. Biblia inasema usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri