
Sign up to save your podcasts
Or


Shirika la Takwimu la Kenya (KNBS) ikishirikiana na Wizara Ya Afya na wadau wengine wameanza rasmi zoezi la kufanya utafiti wa kidemografia na Afya wa mwaka 2022 katika kaunti ya Migori.
By Philip MiyawaShirika la Takwimu la Kenya (KNBS) ikishirikiana na Wizara Ya Afya na wadau wengine wameanza rasmi zoezi la kufanya utafiti wa kidemografia na Afya wa mwaka 2022 katika kaunti ya Migori.