HabariTech

Utapoteza Account zako za Google


Listen Later

“Use it or Lose it” Google wanakwambia “Tumia au Ipoteze”. Wanaongelea zile accounts ambazo zimekaa muda mrefu bila kutumika. Hizi account zote zitafutwa bila kujali kama mmiliki yuko hai au tayari amefariki.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

HabariTechBy HabariTech : Mambo Wasiyokwambia Kuhusu Teknolojia