U Hali Gani? Episode Nyingine Hii Ikikuletea Orodha Ya Nyimbo 10 Zilizotazamwa Zaidi Youtube kwa Wiki Hii. MTV Base Africa , I am Zuchu, Innos B, Rayvanny na Vitu Vingine Vingi Zaidi Vimenyumbulishwa Humu Ndani. Unakosaje Sasa? Karibu . Na Kuhusu hizo Sauti Za Majogoo Kuwika Ni Topic Ya Siku Ingine. Tafadhali Enjoy!