Siasa

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich


Listen Later

Wakili Timothy Toroitich, mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye eneo la Marakwet Magharibi ni miongoni mwa wagombea huru wengi waliojitokeza Kaskazini mwa Bonde la Ufa baada ya kutoridhishwa na matokeo ya shughuli ya uteuzi wa Chama cha UDA.
Faith Kutere amezungumza naye kuhusu safari yake ya siasa, idadi kubwa ya wagombea huru waliojitokeza nchini, ukosefu wa usalama kwenye Bonde la Kerio, mipango yake ya kisiasa iwapo atachaguliwa miongoni mwa masuala mengine.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

SiasaBy The Standard Group PLC