Katika hii episode tutaangalia utofauti uliopo Kati ya biashara na mfanyabisahara. Kwamba biashara kisheria ni mtu kama mtu mwengine kwa maana anamiliki mali na madeni. Na mwenye biashara ni mlezi tu wa hiyo biashara.