
Sign up to save your podcasts
Or


Mara unapobidi kukabiliana na upinzani wa aina yeyote ile, mtu au vitu au mazingira, usiogope. Mara nyingine unakabiliana na adui anayeonekana ana uwezo kuliko wewe, ana nguvu kuliko wewe, ana nyenzo kuliko wewe na hata kama maadui ni wengi kuliko wewe, bado usiogope. Kwa sababu upande wako yuko Mungu mtenda maajabu asiyeshindwa. Usiogope unapotoka kukabiliana na upinzani.
By Pastor MsafiriMara unapobidi kukabiliana na upinzani wa aina yeyote ile, mtu au vitu au mazingira, usiogope. Mara nyingine unakabiliana na adui anayeonekana ana uwezo kuliko wewe, ana nguvu kuliko wewe, ana nyenzo kuliko wewe na hata kama maadui ni wengi kuliko wewe, bado usiogope. Kwa sababu upande wako yuko Mungu mtenda maajabu asiyeshindwa. Usiogope unapotoka kukabiliana na upinzani.