Vijana na Mapenzi

VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Je, ni sawa kumtembelea mpenzi wako bila kumwarifu?


Listen Later

Mara nyingi wapenzi hupenda kutia ladha katika mahusiano yao kwa kufanyiana mambo ambayo mtu hakutarajia. Kuna wale huenda kiasi cha kuwatembelea wapenzi wao bila kuwajulisha. Je, hatua hiyo inafaa ama ni lazima umjulishe mpenzi wako kwanza? Tumepata hisia za wananchi vilevile mtaalam wa masuala ya mahusiano kulihusu suala hili.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Vijana na MapenziBy The Standard Group PLC