Sign up to save your podcasts
Or

Recently, the status of Nakuru town was raised from a town to a City. I took a walk in the new Nakuru City and asked the residents of their opinion now that their town is now a city. This is what they had to say.
Naitwa Githinji, aah tunafurahia kwa maana tunajua mambo yatabadilika na mazuri yatazidi kuja hapa sasa.Tunasikia barabara zitatengenezwa na resources mingi zitakua zinakuja hapa. Kwa hivyo kama wakaazi wa Nakuru tunafurahia hii jambo sana.
Naitwa Robinson. Naona hio ni move mzuri kwa sababu itattaract investors from all over the country na pia tourists watakua attracted to this region. Na itaendeleza economy.
Naitwa Bitutu. We are in the cirry. Yees, Yaani hio inamaanisha tutakua wadosi very soon juu business zitaenda juu. Alafu mimi nlikua naona towns zingine ziko Nakuru zipelekwe Baringo county kama Mawanga.
Yeeeah, Mimi Nakuru kukua city kwangu hainisaidii juu hawa watu hawanipatii dooo,hawatutaftii kazi so, ikue city wakati kila mtu ako na job.Unaona? Hio itwaeza sana lakini saa hii hakuna doh, mimi hainisaidii.
These are some of the reactions from the residents, others are optimistic that the city will open up opportunities that the town could not offer while others have different opinions.
Kimondo Maina
By Kimondo MainaRecently, the status of Nakuru town was raised from a town to a City. I took a walk in the new Nakuru City and asked the residents of their opinion now that their town is now a city. This is what they had to say.