Wahubiri wa Neno Pod

Wagalatia (10) Gal 5:1–12


Listen Later

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 10, katika kifungu Gal 5:1–12. Hapa Paulo anaonyesha kuwa Kristo alituokoa ili tuwe huru, na kwa hivyo, kilicho muhimu sio kutarihiwa wala kutokutahiriwa, bali ni imani itendayo kazi kwa upendo. Pia na tunaeleza jambo muhimu sana juu ya imani ambavyo naamini itawafaidi wote wasikilize.

karibu.

Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa