Sign up to save your podcasts
Or

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 3, katika kifungu Gal 2:11–21. Hapa Paulo anaonyesha kwamba watu wayahudi na watu wa mataifa wote wanahesabiwa haki kwa imani na sio kwa sheria.
Mafundisho hayo ni muhimu sana kwa kanisa la leo na tunakukaribisha kusikiliza na kuendelea kujifunza na kujadiliana nasi ili Injili ieleweke vizuri kama Biblia inavyofundisha.
Karibu.
Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaKaribu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 3, katika kifungu Gal 2:11–21. Hapa Paulo anaonyesha kwamba watu wayahudi na watu wa mataifa wote wanahesabiwa haki kwa imani na sio kwa sheria.