Wahubiri wa Neno Pod

Wagalatia (7): Gal 3:23–4:7


Listen Later

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 7, katika kifungu Gal 3:23–4:7. Hapa Paulo anaeleza kusudi la sheria, anafurahia uzuri na uhuru katika kufanywa watoto wa Mungu na anazungumza juu ya kumvaa Kristo na kuwa mmoja katika Kristo.

karibu.

Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa