
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 9, katika kifungu Gal 4:21–31. Hapa Paulo anaonyesha kuwa sheria nayo inafundisha juu ya uhuru wa watoto wa Mungu walio wa ahadi na roho na imani.
karibu.
Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaKaribu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 9, katika kifungu Gal 4:21–31. Hapa Paulo anaonyesha kuwa sheria nayo inafundisha juu ya uhuru wa watoto wa Mungu walio wa ahadi na roho na imani.
karibu.
Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.