Discovering Africa Thru' Technology

Wekeza katika wanawake : Ongeza kazi ya Mabadiliko Shujaa wa Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania Fortunatha Mmari


Listen Later

Sherekea mafanikio ya wanawake bingwa na mashujaa wa kutetea Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania. Kutana na Bi Fortunatha Mmari, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Afco Investment na Mvumbuzi wa Fortune Foods Lishe bora kwa watu wa kipato cha chini Tanzania.

Je, unajua lishe bora ni muhimu sana kwa kina Mama wajawazito kutoka ujauzito unapoaanza mpaka siku 1,000!?

Utapia mlo unachangia kudumaa kwa watoto na magojwa yasiyo ya kuambukizwa kwa watoto na watu wazima na kugharimu serikali fedha nyingi kutibia?

Je unajua kuhusu viatilishi vinavyoongeza virutubisho vinapatikana katika vyakula maalum na kuongezwa kwenye vyakula kwa gharama ndogo na kupatikana kwa urahisi na bei nafuu kuzui kudumaa na utapia mlo.


https://afcoinvestment.co.tz/

https://www.linkedin.com/in/fortunatha-mmari

https://www.gainhealth.org/fortunatha-mmari


Follow us on

Twitter: @discoverAfrDATT

Instagram:@discoverAfrDATT

Facebook:discoverAfrDATT

LinkedIn:@discoverAfrDATT

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Discovering Africa Thru' TechnologyBy Raziah Mwawanga