Biblia Inasema Usiogope

Woga ni dhambi


Listen Later

Wengi wetu hatujui kwamba woga ni dhambi. Tumekua tukifundishwa dhambi kutokana na amri kumi za Mungu na nyingine chache za ziada huku woga ukiachwa pembeni. Lakini kwa sababu mshahara wa dhambi ni mauti, woga umeendelea kumaliza ndoto zetu, malengo na biashara zetu pasipo kutuacha sisi wenyewe salama. Biblia inasema usiogope. 

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri