Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
YATOKAYO MADHABAHUNIHiki ni kipindi kwa ajili yako kujifunza neno la Mungu, kama lilivyo bila kugoshiwa. Karibu tujifunze. Asante.WORD ALIVE CENTRE-Kibaha, Coast Region.... more
FAQs about Yatokayo Madhabauni:How many episodes does Yatokayo Madhabauni have?The podcast currently has 7 episodes available.
January 12, 2021DHAMBI AU KUTENDA DHAMBIDhambi au kutenda dhambi kunamfanya mtendaji kutengwa na Mungu si kwa sababu Mungu ana mchukia Mtu huyo bali dhambi ndio humtenga Mtu huyo na Mungu. Matokeo ya dhambi ni kuwa humfanya mtendaji kila wakati kujutia dhambi zake na kutaka kuacha kutenda dhambi, ila wengi hawajui watafanyaje ili kutoka katika dhambi. Wengi hutafuta namna yakutoka lakini hawajui kwamba ipo njia sahihi ya kutoka kwenye dhambi, kuwa huru na kurejesha uhusiano na Mungu. Kwenye podcast hii ukisikiliza kwa makini utaipata njia ya kutoka katika dhambi. karibu uijue njia. Ni mimi Mtumishi wako Elibariki Solomon kutoka WORD ALIVE CENTRE, Kibaha. 0747556105...more41minPlay
January 09, 2021Mkristo baada ya kuamini na nafasi yakeMkristo baada ya kuamini na nafasi yake: Mkristo ni mtu kama walivyo watu wengine ila tu yeye huishi maisha ya kumwamini na kumtegemea Mungu kwa maisha yake yote akiwa hapa duniani, itamwia vigumu kuishi maisha hayo iwapo hajui nafasi yake kama mwamini ni ipi na mipaka ya imani yake ni ipi. Hivyo basi katika somo hili tunaonyeaha mikapa na jinsi ya kuweza kumwamini na kumtegemea Mungu, fuatana nami katika somo hili ili uweze jifunza pamoja nasi. kwa maswali na ushauri piga 0747556105 au sms . Ni mimi Mtumishi wako Elibariki Solomon...more51minPlay
January 08, 2021Heri aliyesamehewa dhambiWakristo wengi waliosamehewa dhambi wameshindwa kufaidi haki waliohesabiwa kwa sababu ya kufuata mafundisho potofu kutoka kwa watumishi ambao siyo wakweli bali waongo wanaopindisha neno la Mungu kwa manufaa yao. Wamepelekea kuwa na Wakristo ambao kimsingi sio wa Kristo maana wamegeuka badala ya Kumwamini Yesu, sasa wana waandamia wao watumishi wa uongo na kuishia kuwa vitega uchumi vyao wao binafsi mwisho wataishia jehanamu ya moto wao na wateja wao. Hivyo somo hili litawasaidia waweze kutoka katika mtego huo wa ibilisi. Kwa ushauri piga 0747556105. Elibariki Solomon...more40minPlay
January 07, 2021Tusifuatishe namna ya duniaMy podcasts are about the gospel of Jesus Christ and teaching the word of God, all people are welcome to listen and learn...more32minPlay
July 29, 2020IMEKWISHA 2Katika somo hili tunasisitiza kwa mwamini kujifunza na kuijua kweli kwanini ni muhimu kuijua kweli. Maana IMEKWISHA...more21minPlay
April 28, 2020IMEKWISHA 1Somo hili linakujia kwa ajili ya kukupa tafsiri sahihi ya kile ambacho Yesu alikifanya kwa kufa na kufufuka. Hivyo fuatana nami katika somo hili na mengine yatakayokujia. Asante ni mimi mtumishi wako Elibariki Solomon-Word Alive Centre,Kibaha...more29minPlay
FAQs about Yatokayo Madhabauni:How many episodes does Yatokayo Madhabauni have?The podcast currently has 7 episodes available.