
Sign up to save your podcasts
Or


Katika podi hii, Mwalimu Mike yuko mwenyewe, na anatoa mafundisho juu ya Yesu na huduma yake. Hasa inahusu moyo wa huruma akiwa anatafuta na kuwaita wenye dhambi, na inahusua pia uzima tele, maana Yesu anawakomboa kweli, anawaponya kiroho, na ni mchungaji mwema. Karibu tujifunze.
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaKatika podi hii, Mwalimu Mike yuko mwenyewe, na anatoa mafundisho juu ya Yesu na huduma yake. Hasa inahusu moyo wa huruma akiwa anatafuta na kuwaita wenye dhambi, na inahusua pia uzima tele, maana Yesu anawakomboa kweli, anawaponya kiroho, na ni mchungaji mwema. Karibu tujifunze.