Zulia Jekundu - Voice of America

ZULIA JEKUNDU: Diddy anyimwa tena dhamana - Desemba 03, 2024


Listen Later

Jaji wa serikali kuu alikataa ombi la mwanamuziki nguli Sean Combs la dhamana kwa mara ya pili wakati akisubiri kesi ya tuhuma za utapeli, utumwa wa kingono na usafirishaji wa watu kwa madhumuni ya ukahaba
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of AmericaBy VOA