Zulia Jekundu - Voice of America

ZULIA JEKUNDU: Mpiga gitaa Jimi Hendrix akumbukwa - Desemba 10, 2024


Listen Later

Wapiga picha wanaoinukia wa Kenya na wale watumiaji wa TikTok wanavyotumia mitaa ya eneo la Biashara la kati kati ya jiji la Nairobi-CBD kujipata fedha na pia mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo mashuhuri wa Marekani Jimi Hendrix akumbukwa.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of AmericaBy VOA