Zulia Jekundu - Voice of America

Zulia Jekundu: Wasanii wenye ulemavu wa ngozi wafanya maonyesho ya sanaa Afrika Kusini - Novemba 07, 2024


Listen Later

Zulia Jekundu linamulika maonyesho maalum ya wasanii wenye ulemavu wa ngozi Afrika Kusini wakitumia michoro mbali mbali ya hali yao ili kuwasaida raia wa nchi hiyo kufahamu changamoto na kupamabana na dhana ya ushirikina iliyogubika hali yao.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of AmericaBy VOA