Zulia Jekundu - Voice of America

ZULIA JEKUNDU: Wiki ya mitindo ya Lagos yafana - Novemba 18, 2024


Listen Later

Wiki hii kwenye Red Carpet, tunamulika Wiki ya Mitindo ya Lagos iliyowavutia wabunifu wa mitindo wa ndani ya nchi na wa kimataifa huko Lagos na ndugu wawili wa kenya ambao wanaonyesha utaalam wao kwenye kalamu za MOMO ambazo wanatengenza ili pia kuhifadhi mazingira.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of AmericaBy VOA