Mental Glow

02 - Bridging the Gap ft Barnabas Nkinga


Listen Later

Did you know that having mental health challenges does not mean that you are mentally ill? Ni mara nyingi watu wamekua wakichanganya utumiaji wa maneno haya matatu; changamoto ya afya ya akili, matatizo ya afya ya akili na ugonjwa wa akili. Ungana nami nikiwa pamoja na Mwanasaikolojia, Bw. Barnabas Nkinga akitofautisha haya maneno na kutuelezea zaidi kuhusu umuhimu wa kuwa na rasilimali za kupambana na changamoto ya afya ya akili.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden