Mental Glow

09 - Sonona | Depression ft. Eric Bunono


Listen Later

Kutokana na utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO), imegundulika kuwa sonona inaongoza kusababisha ulemavu duniani kote. Kutokana na uelewa mdogo wa saikolojia nchini Tanzania imepelekea kwa watu wengi kuchanganya kati ya sonona (depression) na msongo wa mawazo (stress).
Ungana nami katika hii episode nikiwa na Mwanasaikolojia na Public Speaker, Bw. Eric Bunono akitofautisha kati ya msongo wa mawazo na sonona na pia kuelezea zaidi kuhusu visababishi vya sonona, dalili zake na jinsi ya kumpa msaada mtu mwenye sonona.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden