Mental Glow

10 - Sonona na Wanawake


Listen Later

Wanawake ni nguzo muhimu sana katika jamii yetu. Mwanamke hasimami kama mama tu, bali pia anasimama kama chachu ya maendeleo katika jamii. Pamoja na kukumbwa na changamoto mbalimbali katika jamii, wanawake bado hutafuta njia kutimiza malengo yao.
Kutokana na utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) imegundulika kuwa sonona inawapata sana wanawake kuliko wanaume kutokana na sababu mbalimbali ambazo zinaelezewa katika episode hii.
Tunavyosherehekea wanawake wote duniani, tafadhali ungana nami katika hii episode tukiongelea changamoto wanazopitia wanawake na zinazo waweka katika hati ya kupata sonona na jinsi ya kuwaelewa na kuwasaidia wanawake hawa ili wasijihisi wapweke na kupelekea kukata tamaa.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden