Mental Glow

13 - Uonevu | Bullying ft. George Chacha


Listen Later

Sio kila tabia inayo ashiria uonevu ni tabia ya uonevu. Tabia ya uonevu haikubaliki. Inaumiza, ina angamiza, na ina haribu maisha ya watu.
Kutokana na tafiti iliyofanywa nchini Tanzania, imegundulika kuwa uonevu ni moja ya tabia inayo ongoza kusababisha changamoto ya afya ya akili mashuleni. Tabia hii ya uonevu haiko pekee katika mashuleni lakini pia ipo maeneo yetu ya kazi na majumbani mwetu.
Katika hii episode nimeungana na Mwanasaikolojia Bw. George Chacha akielezea jinsi ya kumsaidia mzazi mwenye mtoto ambae ana tabia ya uonevu, mtu ambaye yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu mwonevu pamoja na mtu anaefanyiwa uonevu katika eneo lake la kazi na mwajiri wake au wafanyakazi wenzie...tafadhali ungana nasi, kujifunza yote haya.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden