Mental Glow

21 - Jinsi Uzoefu Binafsi na Tamaduni Zilivyo na Mchango Mkubwa Katika Mahusiano ft. Mariam Albhai


Listen Later

Mahusiano ni muhimu katika maisha ya kila binadamu na tafiti zimethibitisha kwamba kwamba mahusiano yasio na afya ni miongoni mwa vihatarishi vya kupata changamoto za afya ya akili na hata kupata magonjwa ya akili kama vile sonona.
Ungana nami katika kipindi hiki, nikiwa na Mariam Albhai tukitambulisha msimu huu wa pili pamoja na kuongelea jinsi uzoefu na tamaduni zetu zilivyo na mchango mkubwa katika kuipa maana halisi ya mahusiano.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden