Mental Glow

24 - Ukali na Mipaka Katika Malezi ft. Elisha Thomas


Listen Later

Katika malezi ya kitanzania, ukali umeonekana kama ndo njia bora zaidi inayosaidia katika kumuweka mtoto katika mstari ulionyooka, na tunasahau kuwa kuna njia nyingi ambazo wazazi wanaweza kutumia katika kuwakuza watoto wao kwenye malezi yaliyo bora.
Ungana nami katika kipindi hiki, nikiwa pamoja na Bw. Elisha Thomas tukijadili kuhusu mada hii, na kujifunza zaidi kupitia malezi aliyokulia Bw. Elisha na ambavyo wazazi wake waliweza kuweka usawa kati ya ukali (strictness) na mipaka (boundaries) na kwa jinsi gani imemsaidia yeye katika maisha yake.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden