Mental Glow

25 - Jinsi ya Kuzingatia na Kujali Afya ya Akili ya Mtoto ft. Flora Wadutya


Listen Later

Katika malezi, wazazi wengi huwekeza nguvu nyingi katika kutimiza mahitaji ya kimwili na husahau umuhimu wa kutimiza mahitaji ya kiakili (mental needs) katika maisha ya watoto wao. Hii hupelekea changamoto mbalimbali katika ukuaji wa mtu mzima ajaye.
Katika kipindi hiki, nimeungana na mwanasaikolojia Flora Wadutya tukiongelea kiundani kuhusu malezi na umuhimu wa wazazi kutimiza mahitaji ya kiakili kwa watoto wao.
Kwa kusikiliza kipindi hiki unapata kujifunza umuhimu wa mzazi kuwa mfano wa kwanza kwenye maisha ya mtoto wake na katika kumjengea misingi iliyo bora kwa maisha ya badae.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden