Mental Glow

29 - Tips to Having a Peaceful and Joyful Holiday


Listen Later

Katika kipindi hiki cha sikukuu au likizo, familia nyingi hukusanyika pamoja kwa ajili ya kusherehekea pamoja. Mikusanyiko ya aina yoyote, mara nyingi huwa inapelekea kuwepo kwa ugomvi na tafrani japokuwa malengo ni kuwa na furaha na amani.
Tafiti iliyofanyika nchini Marekani, imethibitisha kuwepo kwa ugomvi kati ya ndugu kwenye mikusanyiko hiyo kipindi cha likizo, ambapo asimilia 69 ya wamarekani wamewahi kugombana na ndugu kipindi cha likizo. Japokuwa tafiti hii imefanyika nchini Marekani, bado ni dhahiri kwamba hutokea katika jamii tofauti kwenye bara la Afrika, Tanzania ikiwa moja wapo.
Ungana nami katika kipindi hiki upate kujifunza njia mbalimbali ambazo zitakusaidia katika kusherehekea msimu huu wa sikukuu na ndugu zako katika hali ya amani na upendo huku ukijali afya yako ya akili.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mental GlowBy Jacqueline Owden