Adhabu au Zawadi???? Ni ipi njia sahihi ya ufundishaji?
Kwa ajili ya ta athiri na tija ya kuelewa mafunzo...njia ipi itumike? Waweza kuwa unalengo la kujenga lakini kutokana na njia unazotumia kufikia lengo...ukajikuta wabomoa badala ya kujenga. Na hii huenda ikawa sababu ya wanazuoni kukinzana.