Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.... more
FAQs about Darasa Duara:How many episodes does Darasa Duara have?The podcast currently has 6 episodes available.
February 21, 2021Adhabu au Zawadi???? Ni ipi njia sahihi ya ufundishaji?Kwa ajili ya ta athiri na tija ya kuelewa mafunzo...njia ipi itumike? Waweza kuwa unalengo la kujenga lakini kutokana na njia unazotumia kufikia lengo...ukajikuta wabomoa badala ya kujenga. Na hii huenda ikawa sababu ya wanazuoni kukinzana....more40minPlay
February 06, 2021Je mwanadamu ni mwema???Ni ipi hakika ya asili ya mwanadamu? Mwema afanyae maovu, au muovu anayejitahidi kufanya mema??? Jiunge na vijana 30 wakijaribu ku bahathi kwa kurejea thibiti mbalimbali za kihistoria....more51minPlay
January 26, 2021Penda ulichonacho.Yamkini kauli ya wahenga; "bora tisa kenda shika kuliko 10 nenda rudi" haikudanganya...kabisaaa!!!...more2minPlay
January 26, 2021Misingi katika maisha ( Foundation)Pumbazika na mkusanyiko wa nukuuu, hadithi na fasihi zenye kuelimisha kutoka katika mkusanyiko wa vitabu tofauti tofauti....more2minPlay
January 26, 2021Mu injilisti kwenye gari!Umepanda gari ukamkuta mu injilisti akihubiri...je wewe kama kijana wa kiislam yafaa kuskiliza? Kutana na mjadala wa vijana wa kiislam wakikubaliana kutofautiana na ili kupata kuelewa mitizamo ya watu wengi...kila mtu anachangia...sasa upi usahihi??? Sikiliza!...more30minPlay
FAQs about Darasa Duara:How many episodes does Darasa Duara have?The podcast currently has 6 episodes available.