
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu kwenye Afrosoka Podcast — sauti ya soka la Afrika! Hapa unapata takwimu, uchambuzi wa kina, kuhusiana na soka la Afrika, na mtazamo wa kipekee kutoka kwa Leonard Musikula. Usikose kila wiki, kwa sababu soka la Afrika lina sauti — na hiyo ni Afrosoka!
From the publisher's feed
Karibu kwenye Afrosoka – nyumbani kwa habari moto, uchambuzi makini, na matukio yote ya soka barani Afrika. Kama unataka kujua kinachoendelea CAF Champions League, AFCON na ligi za bara letu, uko…