Afya Digito

Afya Digito

Download on the App Store

Afya Digito episodes

  • KITAMBI (UNENE)
    Ni moja kati ya sababu zinazopelekea kukosa nguvu za kiume ama kusinyaa kwa uume. Kitambi kwa asilimia kubwa inaashiria umaridadi lakini je, unafahama madhara yake kwenye mwili....? Sikiliza podcast hii ili uweze kufahamu kuhusu kitambi
    12 min
  • Utangulizi: UANAUME RIJALI
    Uanaume Rijali siyo ugonjwa bali ni changamoto ambayo mwanume anapitia. Unapokosa nguvu za kiume, ndipo tunasema sio mwanaume rijali. Katika podcast hii utaelezwa nini maana ya uaname riajali na mambo matatu (3) unayopaswa kuyafahamu. Karibu na asante sana kwa kusikiliza podcast yetu.
    7 min
  • INTRODUCTION TO AFYA DIGITO
    Katika episode hii utapata kufahamu mambo yafuatayo. 1. Mwanzilishi wa Afya Digito, 2. Afya Digito wanafanya nini, 3. Tunapatikana wapi (physical address), 4. Kwanini tuwe Afya Digito. 5. Tofauti kati ya CHAKULA na VIRUTUBISHO VYA CHAKULA (FOOD SUPPLIMENTS) Karibu sana,
    8 min

About Afya Digito

From the publisher's feed

Afya ya uzazi