Tukirejea katika bweni ya Mandela, sehemu ndogo iliyochafu ambako wanafunzi watano wanaishi, Jimmy anaumwa sana na rafiki zake wanafanya kila wawezalo kumsaidia.