Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii... more
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.
July 18, 2019WHO yatangaza Ebola kuwa dharura ya kimataifaShirika la afya duniani WHO, limetangaza homa ya Ebola kuwa dharura ya kimataifa ya afya ya umma. Tangazo hilo limetolewa baada ya taarifa ya kisa cha mgonjwa wa Ebola mjini Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...more3minPlay
March 06, 2018Unicef: Ndoa za utotoni zimepungua dunianiShirika la Watoto la Umoja wa Mataifa, Unicef limesema ndoa za utotoni zimepungua kwa kiwango kikubwa duniani, hususan katika nchi za Asia Kusini. Hata hivyo bado tatizo hilo ni kubwa Afrika ya Kusini mwa Sahara....more3minPlay
March 13, 2014Haki za WasichanaWanawake barani Afrika wamekuwa na nguvu nyingi katika miaka iliyopita na hata kushika nafasi za uongozi. Licha ya hilo, wasichana wengi bado wanapambana na ubaguzi. Safari ya kufikia usawa wa kijinsia bado ni ndefu....more12minPlay
August 12, 2013Mimi Bado ni Binadamu - Hadithi ya Wagonjwa wa Akili Barani AfrikaUlemavu ni mwiko na laana miongoni mwa watu wengi barani Afrika. Hadithi hii inaelezea jinsi familia na marafiki wa watu wenye ulemavu wanavyojaribu kuelewa na kukabiliana na hali zao. Kwani ni binadamu tu kama wengine....more12minPlay
August 06, 2013Mwana Mpotevu - Hadithi ya akinamama wanaolea watoto peke yao Barani AfrikaMara nyingi malezi ya mtoto huwa kazi ngumu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii huwa ngumu zaidi hasa kwa mzazi mmoja wa kike ambaye mzigo wa kifedha na malezi umo mikononi mwake....more12minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 10 – Hadithi ya OluandaMsisimko ni mkubwa na nderemo zinasikika Maganye. Kabla kuungana na umati wa watu, tujifunze kilichomsibu Chitoto na kilichoandikwa kwenye barua ambayo wazazi wa Kangwa wanaipata....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 09 – Kufanya HistoriaKatika kipindi hiki, mengi yanaonekana yakijitokeza. Chitoto anakanyagwa na gari na bwana na Bi Mali! Na Oluanda na Kangwa wana habari mpya motomoto kwa wazazi wao. Tamthiliya yaendelea....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 08 – Sio rahisi hivyoBabake Kangwa, Bwana Mali anajitolea kusaidia. Mabango yamebandikwa na watu wako tayari kwa maandamano ya amani. Lakini subiri, jambo moja muhimu linakosekana. Bonyeza hapa upate kujua!...more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 07 – Kupigania usawaOluanda huenda akalazimika kukabiliana na changamoto za kutembea lakini amedhamiria kuwahimiza watu wenye ulemavu Maganye kudai haki sawa. Tuchunguze atafika umbali gani anapoendelea na mipango yake....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 06 – Kufanya mabadilikoMshonaji viatu mwenye mguu mmoja ambaye sasa ni maarufu, ana rafiki mpya wa karibu. Mrembo Kangwa amechochea kitu katika maisha ya Oluanda na mabadiliko yanatokea....more13minPlay
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.