Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii... more
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.
March 21, 2011Usafi – Kipindi 06 – Nawa mikonoUnapojua chanzo cha tatizo, una nafasi nzuri ya kuzuia lisitokee tena. Chemu ana wimbo wa kusaidia kufundisha na kueneza ujumbe. Tuimbe pamoja naye!...more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 04 – Kumtafuta SamKatika purukushani yote hii wanaonekana wamesahau kuhusu Sam! Andamana na marafiki zetu wanapopambana kuzuia majanga mawili kwa mpigo....more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 03 – KinachouaKwa mara nyengine tena, janga limesababisha wingu jeusi kutanda katika familia ya Edith. Mtoto Fatu yuko hospitalini akiwa katika hali mbaya. Je, kifo kitamchukua?...more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 02 – Ndizi za jivuMaria anatayarisha dawa ya kienyeji inayopaswa kumsaidia Fatu. Je, mjomba Eddie atafika kwa wakati ufaao kumuokoa mpwa wake? Na je vipi kuhusu hali ya Sam?...more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 01 – KukimbiaSam ghafla anajiondoa kwenye mbio na dadake mdogo Fatu anakuwa mgonjwa sana kwa sababu ya mgeni asiyetakiwa. Tega sikio ugundue mgeni huyu ni nani!...more12minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 10 – UremboKatika kipindi hiki tutazungumzia juu ya urembo. Bibiy ambaye ni muhusika wetu mkuu hapendi kujiremba. Wasichana watagundua uzuri wa asili ni upi baada ya kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya urembo....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 9 – KaziKatika kipindi hiki tutazungumzia ushauri wa kazi kwa wasichana. Mwalimu anatoa nafasi ya kuulizwa maswali juu ya kujenga mwelekeo wa kupata kazi. Bibiy na rafiki zake wanazungumzia ndoto ya kazi wanazozitaka....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 8 – Usafi wa mwiliTutazungumzia juu ya usafi wa mwili na umuhimu wake kwa wasichana. Bibiy ataelezea matatizo maalumu kwa wasichana wa shule wakati wa kuvunja ungo. Anaelezea ugumu wa kujadili masuala haya na wazazi....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 7 – Unyanyasaji majumbaniKatika kipindi hiki, Bibiy anamsaidia rafiki yake Tamara mwenye umri wa miaka 14, ambaye amenyanyaswa na mama yake wa kambo. Alipewa kazi nyingi za ndani kiasi cha kushindwa kwenda shule....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 6 – MichezoBibiy na rafiki zake wanacheza kandanda na vijana wa kiume. Wanakuwa na ndoto ya kuwa na timu ya kandanda ya wanawake kwenye kombe la dunia. Tufuatilie jinsi mchezo unavyokwenda....more10minPlay
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.