Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii... more
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 1 – Ndoa za lazimaKatika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya ndoa za lazima na elimu muhimu kwa wasichana. Bibiy atamsaidia rafiki yake ambaye wazazi wake wanataka aache shule ili aolewe na mzee mwenye pesa....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 2 – KujiaminiKatika kipindi hiki tutazungumzia juu ya vijana na kujiamini. Bibiy msichana mwenye kiburi lakini mrembo, atamsaidia rafiki yake kuwa huru kujieleza....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 3 – MtandaoBibiy na rafiki yake wanaanzisha mtandao wao. Unawahamasisha wasichana kufikia malengo yao, kujifunza kwa kutumia mtandao wa intaneti na kuwapa nafasi ya kuweza kuendesha mijadala....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 4 – Udhalilishaji kingono IKatika kipindi hiki chenye sehemu mbili, tutazungumzia juu ya udhalilishaji kingono. Bibiy msichana mtukutu lakini siku zote aliye tayari kusaidia, atamsaidia rafiki yake ambaye anakabiliwa na tatizo kubwa la kibinafsi....more10minPlay
March 21, 2011Wasichana – Kipindi 5 – Udhalilishaji kingono IIKatika sehemu hii ya pili, Bibiy amegundua kuwa mmoja wa marafiki zake wakubwa alifanyiwa visa vya udhalilishaji kingono na mjomba wake na sasa ni mjamzito. Kwa hivyo ameanzisha harakati za kutafuta haki ya kisheria....more10minPlay
March 16, 2011Afya – Kipindi 4 – Usafi binafsiSoksi zimesababisha mjadala mkubwa miongoni mwa vijana hao watano wa bweni la Mandela kuhusiana na usafi binafsi. Kuishi mbali na wazazi kwaweza kusababisha uchafu. Hasa linapokuja suala la kufua nguo na kuoga....more10minPlay
March 16, 2011Afya – Kipindi 5 – Utapiamlo na KitambiSimo, Steve na Manuel wanapata kiamsha kinywa kikubwa. Jambo hili linazua mjadala mkubwa. Pesa walizonazo hazitoshi kuwafanya wapate chakula bora. Tutaangalia pia tatizo lengine - unene....more10minPlay
March 16, 2011Afya –Kipindi 6 – Mdudu mharibifuKatika kipindi hiki Jimmy anaumwa sana na tutaangalia sababu za kuumwa kwake. Pia tutakueleza jinsi ya kuwa mbali na wadudu kwani kwa kiasi kikubwa maradhi huletwa na wadudu....more10minPlay
March 16, 2011Afya – Kipindi 7 – Kuwahudumia wagonjwaBweni ya Mandela imegeuka kuwa jalala. Hakuna hata mmoja mwenye kutilia maanani usafi wa nyumba wala usafi binafsi. Ndio maana Jimmy anaumwa. Nini unachotakiwa kukifanya iwapo rafiki yako mkubwa anaumwa?...more10minPlay
March 16, 2011Afya – Kipindi 8 – Vyandarua vya mbu wa malariaTutashuhudia Manuel, Steve, Simo, Jimmy na Hassan wanavyokabiliana na maradhi. Wawili kati yao wameenda katika zahanati. Pia tutajifunza jinsi ya kuepuka kuambukizwa vijidudu hatari vya malaria....more10minPlay
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.