Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii... more
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 05 – Masikini hohehaheMama na mwanawe wa kiume wanahimizana kwamba mustakabali wao sio mbaya vile. Wakati huo huo, Theresa anafichua jambo kwa Tofa na Fagilio anagundua kwamba mwanawe wa kiume anafuata nyayo zake za kujutia....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 04 – Mlemavu lakini siyo kuwa hajiweziBaada ya kufika shuleni, Oluanda analazimika kuondoka tena. Lakini kwanza, tusikie anachosema Fagilio wakati Tofa, mamake Oluanda, anapokabiliana naye....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 03 – Alikubaliwa zamani, amekataliwa sasaUchungu, hatia, kutojiweza – haya ni baadhi ya mawazo ya Oluanda kuhusu yeye mwenyewe. Je nini kinachomsubiri siku za usoni? Marafiki zake wanafanya nini? Kwa majibu ya maswali haya na mengineyo bonyeza hapa!...more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 02 – SamahaniUnadhani ni maneno gani magumu kutamka? Katika kipindi hiki, tunajifunza kuhusu mateso ya Oluanda anapojifunza juu ya changamoto zake mpya....more13minPlay
March 21, 2011Watu wenye ulemavu – Kipindi 01 – Inaweza kutokea kwa yeyoteKatika mfululizo huu mpya tunasafiri na Oluanda na marafiki zake kwenda Maganye ambako mashindano ya magari ya kila mwaka yanafanyika. Jifunze jinsi mashindano haya yanavyoyabadili kabisa maisha ya Oluanda!...more13minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 09 – Mtoto aliyedumaaNa wakati marafiki zetu walipodhani wanajua kila kitu kuhusu usafi, wanatambua kuna mengi ya kujifunza. Tutege sikio huku Daktari Sally akitoa maelezo muhimu ya uhakika....more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 10 – Jamii zetuPanga choo! Tuungane na marafiki zetu “mabalozi wa usafi” na jamii yao katika kipindi hiki cha mwisho kujua nini kitakachotokea....more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 08 – Shule yaendeleaNi kazi chafu lakini lazima mtu aifanye! Tega sikio ujue ni wapi, kwa nini na vipi Sam na Chemu watakavyoifanya....more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 07 – Kwapikwa nini?Marafiki zetu chipukizi na wazazi wao wanaonekana sasa kuchukua kila tahadhari kuzuia vijidudu vya maradhi. Katika kipindi hiki, wanaangazia mbinu muhimu za upishi safi....more12minPlay
March 21, 2011Usafi – Kipindi 05 – Mto na NyokaLo! Sam alifaulu kufika hospitalini na tunaweza kupumua. Lakini je, ameepukana kabisa na hatari? Tuungane na marafiki zetu wanapogundua baadhi ya sababu za ugonjwa wa kuendesha....more12minPlay
FAQs about Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii:How many episodes does Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii have?The podcast currently has 42 episodes available.