Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii

Wasichana – Kipindi 6 – Michezo


Listen Later

Bibiy na rafiki zake wanacheza kandanda na vijana wa kiume. Wanakuwa na ndoto ya kuwa na timu ya kandanda ya wanawake kwenye kombe la dunia. Tufuatilie jinsi mchezo unavyokwenda.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Noa Bongo - Afya na Masuala ya JamiiBy DW.COM | Deutsche Welle