Watu wenye ulemavu – Kipindi 10 – Hadithi ya Oluanda
Msisimko ni mkubwa na nderemo zinasikika Maganye. Kabla kuungana na umati wa watu, tujifunze kilichomsibu Chitoto na kilichoandikwa kwenye barua ambayo wazazi wa Kangwa wanaipata.