Maombi maalumu kwa ajili ya Uponyaji wa AFYA ya akili kwa wale wote wenye Msongo wa mawazo, hisia za kuchanganyikiwa, kukata tamaa ya kuishi!
Bwana anakuta uwe na afya njema, uwe na uzima tele! Uishi maisha ya ushindi na ukuu!
Pokea afya yako, kuwa mzima kuanzia leo! Tembea kwenye Uhuru wa Wana wa Mungu.