Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
April 01, 2024Tumetokana na MunguMungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake.Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake....more16minPlay
April 01, 2024Msingi wa Imani ya KikristoKristo ndani yako nfio maana halisi na mjumuisho mzima wa Imani ya Kristo. ukristo sio dini, ni uhalisia uhusiano wa Mungu na mwanadamu. Ni maisha halisi ya Mungu ndani ya mwanadamu. Ni Uungu katika mwili....more19minPlay
April 01, 2024Usijitahidi Kushinda TenaUsijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi....more13minPlay
April 01, 2024Hakuna Baraka zilizosalia KuombaUmebarikiwa kwa Baraka zote za rohoni katika ulimwengu wa Roho ndani yake Kristo Yesu. Hakuna baraka hata Moja ambayo bado haujapewa. Tembea kwenye uhalisi huu, tembea kwenye kweli hii! Tembea kwenye Nuru hii!...more15minPlay
April 01, 2024Huburi Maisha ya UshindiDuniani Mnayo dhiki lakini Jipeni Moyo, mimi Nimeushinda ulimwengu. Yesu ameushinda ulimwengu kwa ajili yako, changamka, kuwa imara.Tembea na ishi maisha ya Ushindi.Ni jadi yako na haki Yako....more16minPlay
March 30, 2024Mfunuaji wa Siri za MunguMfahamu Roho Mtakatifu kwa undani kabisa kupitia nakala hii! Roho Mtakatifu ni nafsi hai ya Mungu, yeye ni mfariji wetu, rafiki anaye ambatana nasi kwa ukaribu kuliko yoyote yule katika ulimwengu huu! Mjue binafsi na tembea katika ushirika nae kwa viwango vya kipekee....more15minPlay
March 29, 2024Uhusiano wa KiunguWewe umeungwa na Bwana Yesu, wewe ni kitu kimoja na yeye! Yeye yupo ndani Yako na wewe upo ndani yake. Uzima wake upo ndani Yako leo, wewe umeletwa kwenye daraja la Mungu! Una uzima na asili ya Mungu ndani Yako Leo hii....more14minPlay
March 29, 2024Yesu Ndiye KristoElewa Kweli hii na tembea katika uhalisi wake, kwamba Yesu ndiye Kristo, ndiye masihi, Mwokozi wa ulimwengu, Neno la Mungu lililofanyika mwili!...more15minPlay
March 21, 2024Hema Yake IliyotakaswaWewe ni makao ya Mungu, maskani yake. Wewe ni mwakilishi wa Mungu katika ulimwengu wako. Dhihirisha ubora na ukuu wake leo, mtangaze Bwana Yesu kila Mahali ulipo au uendapo. Acha ulimwengu umwone Kristo ndani Yako na kupitia wewe kuanzia leo....more13minPlay
March 20, 2024Kutembea Ndani YakeElewa upo ndani ya Kristo kama wewe umezaliwa mara pili. Elewa Kristo ni eneo, ni maskani na upaswa kuenenda ndani yake kupitia neno lake. Neno lake ni Nuru, taa na uhalisi wa maisha yetu ya kila siku....more13minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.