Amedeus Live Podcast

Tumetokana na Mungu


Listen Later

Mungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake.
Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael