Bongo Bila Borders

Afya ya Akili/Mental Health


Listen Later

🎧 "Ukiumia Kimoyoni, Unasema au Unanyamaza?"

Episode mpya imetoka! Sasa inapatikana kwenye Spotify na Apple Podcasts – tafuta "Bongo Bila Borders" au tumia Linktree kwenye bio.

Katika episode hii maalum kwa ushirikiano na @mambo_vipiinitiative kupitia kampeni ya #MwanumeNiMtu, tunazungumza kwa undani kuhusu afya ya akili kwa wanaume nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Tunaangazia:

🔹 Aibu na unyamavu wanaume wanapopitia changamoto za kiakili

🔹 Tofauti ya mitazamo kati ya Afrika na Marekani

🔹 Kazi muhimu ya @myafyaprofile na huduma mpya ya mental health hotline

🧠 Hili si suala la wanaume pekee – wanawake, pia tunayo nafasi ya kusaidia.

💬 Sikiliza, jifunze, na shiriki.

🔔 Episode tayari hewani – usikose!

🗣 Taga mtu ambaye anapaswa kusikia hii.

🔥 #MwanumeNiMtu sio udhaifu – ni ujasiri.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Bongo Bila BordersBy Sabai na Alexa