๐ง "Ukiumia Kimoyoni, Unasema au Unanyamaza?"
Episode mpya imetoka! Sasa inapatikana kwenye Spotify na Apple Podcasts โ tafuta "Bongo Bila Borders" au tumia Linktree kwenye bio.
Katika episode hii maalum kwa ushirikiano na @mambo_vipiinitiative kupitia kampeni ya #MwanumeNiMtu, tunazungumza kwa undani kuhusu afya ya akili kwa wanaume nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Tunaangazia:
๐น Aibu na unyamavu wanaume wanapopitia changamoto za kiakili
๐น Tofauti ya mitazamo kati ya Afrika na Marekani
๐น Kazi muhimu ya @myafyaprofile na huduma mpya ya mental health hotline
๐ง Hili si suala la wanaume pekee โ wanawake, pia tunayo nafasi ya kusaidia.
๐ฌ Sikiliza, jifunze, na shiriki.
๐ Episode tayari hewani โ usikose!
๐ฃ Taga mtu ambaye anapaswa kusikia hii.
๐ฅ #MwanumeNiMtu sio udhaifu โ ni ujasiri.