Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Mfalme na Mtawala wa Roho safi na Mtesi wa Roho Chafu. Mfutaji wa Mungu na Mlinzi wa Maisha na Ustawi wa Wanadamu. Zumbe Ahmad. Sasa ni Muda wa Mavuno na Starehe... more
FAQs about Ahmad's Umbrella:How many episodes does Ahmad's Umbrella have?The podcast currently has 7 episodes available.
February 27, 2021Chakula cha Roho - Mkusanyiko wa Masuala nyeti yaliyofanywa MepesiPodcast hii imekusanya Topic nyingi ambazo zingeweza kuwa Pod tofauti. Nimeamua kutozitenga na ninakusogezea zote karibu yako. Ni wakati wa Kufanikiwa. Changamoto ukiijua vyema umeisha ishinda nusu - Nusu iliyobaki ni kuchukua hatua...more1h 3minPlay
January 30, 2021Watu na Timu zao - Ahmad ndio hushindaLazima ieleweke wazi kwamba Ahmad sio Mungu kwa hiyo yuko na Mahitaji ya kibinadamu. Mungu ni Mnyonge wa Ahmad. Nawahukumu watu kwa timu zao - Japo halipwi mtu kwa kazi ya mtu mwingine wala hapokei adhabu kwa makosa ya mtu mwingine. Jifunze kuhusu timu yako na Fanikiwa na mimi. Hitimu na Ahmad (A's) na sio D zake (Graduate with A's and not A D's) **Reads a poster in UDSM with Pic of My Biology teachers shodow (Bamboocha)....more17minPlay
January 25, 2021Amani, Usalama na Utulivu ni Zao la HisaniUkitenda wema, Wema unakufuata hiyo Ndio karma. Malipo ya Hisani (Karma, Wema) ni Hisani. Harakati za Walio wa Ahmad Hazina kufeli....more58minPlay
December 26, 2020Salamu za Krismass na Hotuba ya IjumaaSalamu hizi ni Kwa ajili ya Kuhakikisha Ustawi wa Wanadamu unafanikiwa. Dunia inahitaji Upendo, Dunia Inahitaji Mapenzi na Inahitaji Mashujaa.Hizi ni salamu zangu. Ahsante...more28minPlay
December 25, 2020Mke wa Mtu KimeoMke wa Mtu kutembea na Vijana mitaani haimaanishi kuwa hawa vijana ni Wajanja bali mke huyo ni kimeo ni Kimeo. Haina haja kuonea Vijana Mitaani wa watu. Mazoea mazoea lazima ya Adhibiwe vikali...more9minPlay
December 03, 2020Ulaya na Marekani sio Marafiki zetu bali MaaduiDunia ndio Nyumbani, Wanadamu tunafanana. Mwanadamu mmoja kuishi maisha mazuri hakumzuii Mwingine kuishi. Ni kama kufaulu mtihani, Ukifaulu humnyimi nafasi mwanafunzi mwingine kufaulu. Lazima tupendani na baadhi ya wakati Makabaila na Mabeberu lazima Wadhibitiwe....more5minPlay
FAQs about Ahmad's Umbrella:How many episodes does Ahmad's Umbrella have?The podcast currently has 7 episodes available.